Template:Welcome/sw
From Wikimedia Commons, the free media repository
Karibu katika Wikimedia Commons, Welcome!
Hatua zetu za ziara ya kwanza na FAQ itakusaidia sana baada ya kujisajili. Zinaelezea jinsi ya kupanga kusano vile upendavyo (kwa mfano lugha), namna ya kupakia mafaili na msingi wa sera yetu ya hatimiliki. Huhitaji maarifa ya kiufundi ili uweze kuchangia hapa. Kuwa mjasiri changia hapa na uwe na imani nzuri kwa ajili ya wengine. Hii ni wiki—ni rahisi kweli. ![]() Maelezo zaidi yanapatika katika ukurasa wa lango la jumuia. Unaweza kuuliza maswali katika dawati la msaada, ukurasa wa jumuia au kwenye idhaa ya IRC ya #wikimedia-commons (fursa ya moja kwa moja). Pia unaweza kuwasiliana na msimamizi (mtafute anayepatikana) katika kurasa zao za majadiliano. Ikiwa una swali mahususi kuhusiana na hakimiliki, uliza katika Commons talk:Licensing. |
|
|
(P.S. Ungependa kutoa mawazo yako kuhusu taarifa hii?) |
NOTE: Please do not use this template directly! This is just for translation. Use {{Welcome}} instead!